Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, December 3, 2013


Kijana mmoja mkazi wa Phladelphia anayetambulika kwa jina la Christian Massey mwenye umri wa miaka 21,amepoteza maisha baada ya kupigwa risasi zaidi ya tano na mtu aliyetaka kumproa headphone za beats byDre.Shahidi wa tukio hilo amesema,alimuona muuaji akimuamuru Kijana Massey kuzisalimisha headphones hizo na massey alikimbia ndipo alipofyatuliwa risasi hizo na kupoteza maisha.Christian Massey inasemekana alinunua headphones hizo kwa ofa ya $300 kwaajili ya Black Friday,kawaida Headphones hizo huuzwa $500.

0 comments:

Post a Comment