Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 30, 2014

 0529-niki-minaj-floyds-daughter-instagram-01
Nicki Minaj si mpaka atoe wimbo ama atumbuize ndiyo aingize mkwanja,hayo yamejidhihirisha pale taarifa zilipotufikia kwamba bondia Floyd Mayweather Jr. amemlipa mwanadada rappa toka YMCMB dola za kimarekani 50,000 jili tu ahudhurie birthday party ya binti wa bondia huyo,Iyanna Mayweather ambaye alikuwa anatimiza miaka14.
Taarifa zaidi zinadai Mayweather alikodisha sehemu ya kifahari ya MGM ballroom huko Vegas kwaajili ya birthday party ya binti yake huyoIyanna Mayweather ambapo Nicki alitokea kama kumshangaza (surprise).Nicki ambaye alilipwa kiasi hicho cha pesa alikaa kama lisaa limoja akiwa na binti huyow wakipiga story ka picha.
Kama utakuwa na kumbukumbu nzuri,siku ya birthday party ya Iyanna ndipo lilipoibuka tifu kati ya rappa T.I. na bondia Floyd baada ya mke wa T.I.,Tiny kupost picha katika Instagram akiwa na binti wa bondia Mayweather.

Iyanna amekuwa na wakati mzuri katika birthday part zake kwani mwaka huu alikuwa na YMCMB star,Nicki Minaji na mwaka jana alikuwa na Justin Bieber.Jiulize itakuwaje akitimiza miaka 16 katika  sweet 16 yake itakuwaje?

0 comments:

Post a Comment