Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, August 17, 2013

0816_raz_b_well_footerMtandao wa TMZ unaripoti muimbaji wa R&B,Raz-B yupohospitali katika life support huko Chinaikiwa ni siku moja baada ya kupigwa nachupa usoni.Mtandao wa TMZ umeongea na mtu wa karibu na Raz,Toy Jones,ambaye amesema Raz yupo katika na yanahitajika maombi.Muimbaji huyo wa R&B mwenye umri wa miaka 28 alikuwa akiperforming siku ya alhamisi katika club huko China ndipo alipopatwa na masahib hayo.

Tunataarifiwa Raz alipatiwa matibabu na kuruhusiwa lakini siku iliyofuata hakuweza kuamka ndipo dancers wake walipompeleka hospitalR

0 comments:

Post a Comment