Mtandao wa Tmz unaripoti kwamba hakimu ametoa hukumu ya masaa 1,000 zaidi ya kutumikia jamii kwa R&b star Chriss Brown baada ya L.A. County D.A. kumkuta na makosa ya kufoji ripoti.Ripoti zaidi zinasema kuna wakati Crhriss alitakiwa kusomba taka huko Virginia badala yake alichukua private na kwenda Cancun.Hpo mwanzo Chris alihukumiwa kufanya kazi za kijamii kwa siku 180 sawa na masaa 1,440 baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa girlfriend wake,Rihanna.Chris atamaliza adhabu hiyo mwezi August 2014.Chriss ana nyingine ya kujibu baada ya kutoa taarifa feki kwa mtu aliyemgonga gari lake.
Saturday, August 17, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment