Chanzo kimoja cha habari kimesema"Control"siyo diss track ya kwanza toka kwa rapa Kendrick ambaye
mwaka 2012alichukiliwa na Aftermath na Interscope Records.Kendrick Lamar pia ni member wa West Coast hip hop supergroup Black Hippy, na wenzake rappers Jay Rock, Schoolboy Q and Ab-Soul. toka mitaa ya California.Kendrick Lamar ameshawahi kudondosha diss track tar 15/9/2010 inayokwenda kwa jina la ''Monster'' ambapo inasemekana lilikuwa ni kombora alilolielekeza kwa miamba ya hip hop kama Lil Wyne,Eminem,Kanye West,Jay z,Snoop Dog,Buster Rhymes,Lupe Fiasco na wengine.
Mafanikio ya Lamar yalionekana pale alipoachia album good kid, m.A.A.d city ambayo aliitoa October 22, 2012. Albam hiyi iliongoza katika Top 40 hits ikiwa na masongs kama "Swimming Pools (Drank)", "Bitch, Don't Kill My Vibe" na "Poetic Justice". Album ikatunukiwa platinum na Recording Industry Association of America (RIAA).Mapema mwaka huu 2013, MTV walimtunuku Lamar kama the No. 1 Hottest MC in the Game,
0 comments:
Post a Comment