Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 29, 2014


Mtandao wa habari za udaku za watu maharufu wa TMZ umeandika,movie star Brad Pitt alijikuta katika wakati mgumu pale alipokuwa akitembea katika zulia jekundu katika ukumbi wa El Capitan theater huko Hollywood katika uzinduzi wa filamu mpya aliyoigiza mkewe Angelina Jolie  ,filamu inayoitwa "Maleficent" .pale mtu mmoja aliporuka kizuizi na kumvamia na kumpiga konde usoni.Taarifa zaidi zinasema mtu huyo alikamatwa na polisi wa LAPD na mpaka sasa bado yupo lupango akisubiri ukumu ya kosa hilo.

0 comments:

Post a Comment