Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, May 26, 2014

 
Floyd Mayweather ameomba radhi kwa mke wa rappa T.I,Tiny,baada ya kumjumuisha katika ugomvi baina yake na T.I. katika mgahawa wa Fatburger huko Las Vegas.
Taarifa za ndani zaidi zinadai chanzo cha ugomvi huo ni T.I kukasirishwa na kitendo cha bondia Maywather kutoka na mkewe,Tinny.Ktika ugomvi ugomvi huo ulioishia kurushiana viti alisikia bondia Maywather akimwambia T.I “control” his wife(akimaanisha amchunge mkewe).
Kufuatia kitendo cha bondia Maywatherk kumjumuisha Tiny,haya ndiyo maneno aliyosema:“Only person I wanna apologize towards is Tiny,” “She cool. She never been disrespectful to me.”
N kama haitoshi Mayweather aliomba radhi kwa watoto wake na wa T.I.

0 comments:

Post a Comment