Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, May 5, 2014

 Floyd Mayweather Jr. and Justin Bieber

Miamba ya hip hop Lil Wayne,2 Chainz & Rick Ross sambamba na pop star Justin Bieber,walimsindikiza  bondia Floyd Mayweather Jr ulingoni katika ukumbi wa MGM Grand Garden Arena wakiongozwa na ngoma ya DJ Drama 2ailiyomshirikisha narappa 2 Chainz “My Moment."
Mayweather aliingia ulingoni kwa live performance ya Lil Wayne na Justin Bieber ambapo Lil Waynealitumia nafasi hiyo kutambulisha ngoma yake mpya toka kwa albamu yake ya Carter V single “Believe Me" Katika pambano hilo bondia Mayweather alimpiga kwa point mpinzani wake Maidana katika pambano la mizunguko 12 na kunyakua taji la welterweight world title.Katika mpambano huo ambao unasemekana iulikuwa mgumu kwa Mayweather,Maidanaalirusha ngumi kama 858na zilizofika ni 221 tu, upande wa Mayweather alirusha makonde 426 lakini yaliyopenya ni 230.

  

 

0 comments:

Post a Comment