Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 30, 2014

Screen Shot 2014-05-29 at 3.09.53 PM
Mtu mmja mwenye umri wa miaka 33 aliyeatambulika kwa jina Andrew Murray aliingia ndani ya SunTrust Bankhuko Neptune Fla.ijumaa ya (May 23). na kuiteka benki kwa fimbo na wala si silaha kubwa. Shaidi mmoja aliyekuwapo eneo la tukio alisema,alimuona Murray akiwa amevalia kinyago cheusi usoni na alikuwa ameshikilia bakora mkononi huku amkiwa na mfuko mkubwa kisha kusema kwa sauti kubwa "sitomdhuru yeyote kama nitapatiwa dolla za kimarekani “50,000.”
Mtu huyo alifanikiwa kuondoka benki hapo na kiasi kadhaa cha pesa lakini polisi wa walipata taarifa toka kwa wafanyakazi wa posta moja karibu na benki hapo na kuanza kumfuatilia Murray ambaye alipigwa shoti ya Taser baada ya kugoma kutii amri ya polisi ya kusimama

Andrew Murray must have been thinking when he walked into a SunTrust Bank in Neptune, Fla. last Friday (May 23). Murray  robbed the bank with a stick instead of an actual weapon. 
Witnesses say Murray was wearing a black mask and holding a stick covered in a plastic bag. He reportedly yelled, “Nobody is going to get hurt if you give me $50,000 from the vault.”
Somehow this guy managed to get off with an undisclosed amount of money. He attempted to get away in a nearby neighborhood but a postal worker reported him. A bike cop caught up with Murray and asked him to stop but he  refused (of course). He was eventually shot with a Taser and arrested.
There was no mistaking that he was the bank robber either. He matched the witness description and left a lot of evidence behind. Authorities found boots, a mask, and gloves along a wooded path near the scene, and $124 in cash on Murray’s person.
The 33-year-old was taken to the Duval County Jail on charges of armed robbery and resisting arrest.
- See more at: http://hiphopwired.com/2014/05/29/man-robs-florida-bank-with-a-stick/#sthash.4bp8mAEP.dpuf

0 comments:

Post a Comment