Tony Yayo amesema amemshauri 50 Cent kuhusu kumsaini rappa wa kike Remy Ma.
Rappa Tony Yayo amesema sababu za kumshauri 50 kumsaini Remy Ma kwamba anaamini mdada huyo anauwezo mkubwa wa kuchana hasa kwa mtindo wa sasa.
Rappa Remy Ma kwasasa yupo gerezani tangu May 2008,akitumikia miaka 8 kwa kosa la kumfyatulia silaha Makeda
Barnes-Joseph.
Taarifa za awali zinasema Remy Ma anatarajiwa kutoka gerezani "July 30.
Wednesday, June 18, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment