Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, June 10, 2014

 
Mshindi wa tuzo za Grammy,Rihanna amepamba tena vichwa vya habari vya mitandao ya jamii baada ya kuonekana akiwa karibu kimahaba na Chris Martin.


Rihanna na Chris Martin walionekana wakipata chakula cha usiku pamoja katika hotel ya Giorgio Baldi huko Santa Monica jumapili usiku.Chris Martin na Rihanna wote ni wapweke kwa sasa na kuonekana wakipata chakula cha usiku pamoja katika hotel aipendayo Rihanna ya Giorgio Baldi na kitendo cha wawili hao kuondoka kila mmoja na mlango wake kukwepa mapaparazzy,kanafanya uanze kuhesabu kuna jambo linataka tokea.
Chris Martin na Rihanna wamefanya collabo ya pamoja ("Princess of China"),

0 comments:

Post a Comment