Mtandao wa Complex News umeandika,Jay Z alionekana kavalia jezi ya kike yenye ya m bunifu Brand yenye nembo ya Rodarte
mapema mwezi huu katika mitaa ya jiji la New York City akiwa ameongozana na mkewe,Beyonce.
Complex limemtaja rappa Jay kuwa si star pekee wa kiume kuonekana kavalia vazi la kike bali wapo wakina
Young Thug,Kid Cudi,Kanye West na wengineo.
Monday, June 9, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment