Kim Kardashian na Kanye West wamegomea ofa ya gazeti moja ya kutaka kununua picha za maharusi hao iliyofanyika huko Frolence,Italy kwa dola za kimarekani millioni 11.Kitendo hicho cha Kim Kardashian na Kanye West kugomea ofa ya dola za kimarekani millioni 11 kimemuudhi mama wa Kim, Kris Jenner.
Mtu wa karibu na familia hiyo amesema mama wa Kim Kardashian ambaye ndiye msemaji wa familia alishataka kuziuza picha hizo na laishaongea bei na wanunuzi ili apatiwe kamisheni yake lakini Kim Kardashian na Kanye West hawap tayari.
Mama huyo alishafanya hivyo wakati Kim alivyoolewa na Kris Humphries na Khloé alivyokuwa na Lamar Odom.
Upande mwingine mtoto wa Kim Kardashian na Kanye West,North West leo anaimiza mwaka moja,Happy Birthday! baby North West.Mtoto huyo amepata zawadi ya kipeke toka kwa wazazi weake,heleni za almasi.
Monday, June 16, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment