Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, June 14, 2014


Marc Anthony ametakiwa kumpatia aliyekuwa mkewe,Dayanara Torres kiasi cha dola26,000 pesa ya matumizi ya watoto mara mbili zaidi yaalivyokuwa akitoa hawali.
Torres anadai alikuwa akiishi maisha ya tabu kwani alikuwa akipatiwa dola 13,000 kwa mwezi ajili ya mahitaji ya watoto wao wawili.Hwali Torres alitaka apatiwe dola 113,000 kwa mwezi lakini jaji alifikia maamuzi ya kupatiwa dolla 26,800 kwa mwezi.
Jambo la kufurahisha zaidi ni ilitangazwa Anthony aliyejitolea dola 25,000 kwa mwezi,mwaka mzima  kuwachangia watoto yatima mwaka 2014 amekuwa mgumu kwa watoto wake mwenyewe.

0 comments:

Post a Comment