
United States soccer star,Clint Dempsey amesema anampango wa kuachia albamu ya rap yenye nyimbo 13, The Redux, miezi kadhaa baadae.
Dempsey ambaye yupo katika kikosi cha timu ya USA inayoshiriki kombe la dunia na ameshafunga goli zidi ya Ghana siku ya jumatatu june 16 amsema track ya kwanza kuachiwa kutoka katika The Redux ni "It's Poppin."
Akiongelea historia yake ya kuanza kurap ni pale gari yake ya kwanza kuendea shule haikuwa na radio hivyo ilibidi awe anarap njia nzima mpaka akawa anamkera mdogo wake ambaye walikuwa wanaongozana. Dempsey anawashukuru sana Bun B, UGK, Pimp C,kwa kumsiikiliza na kumuweka sawa.
Thursday, June 19, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment