
Pharrell Williams na Pitbull wametajwa kuingizwa katika Hollywood history.
Ma superstars hao wametajwa siku ya alhamis na kamati maalumu ya the Walk of Fame kuwa miongoni mwa watu 30 watakaowekewa nyota mwaka 2015 huko Hollywood Walk of Fame kama ilivofanyika kwa nyota wengine waliofanya makubwa.
Pitbull amesheherekea habari hizo kwa kutweet“Excited about my new honor as a Walk of Famer for Class of 2015.”
Wengine ni Will Ferrell, Melissa McCarthy, Sofia Vergara, Amy Poehler, Kelly Ripa, Kool & The Gang, and producer Dr. Luke.
Uteuzi huo mpya umefanyika kwa kuzingatia ubora katika kiwanda cha entertainment alisema said Maureen Schultz, mwenyekiti wa uteusi wa Walk of Fame selection committee.
Friday, June 20, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment