Ariana Grande aliimba wimbo wake “My Everything” maalum kwa ajili ya baby yake aliyefariki mwezi July kwa ugonjwa huo wa kansa.
Waimbaji toka Chicago,Lupe Fiasco sambamba na Common , Jennifer Hudson pia walitumbuiza wimbo wao “Remission”kwa mara ya kwanza katika show hiyo .
” JHUD alisea pesa zote walizokusanya zinapelekwa katika taasisi mbalimbali zinazohusiana na matibabu ya ugonjwa mbaya wa kansa.
0 comments:
Post a Comment