Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, February 6, 2015



Lil Wayne To Release "Free Weezy Album"
Wakati tifu la kutokuelewana baina ya Lil Wayne na lebo ya Cash Money Records inayomsimamia yeye na kazi zake,rappa huyo ameamua kuja na kile alichokiita zawadi kwa mashabiki wake( free project to fans). Bosi huyo wa The Young Money aliezea hayo kupitia akaunti yake ya Twitter jana mapema (February 5) kwa kuandika:“The Free Weezy Album...komin soon#FWA… Free album. Free Weezy season. The Free Weezy Album. #FWA,” Lil Wayne aliandika jumbe hizo mara kwa mara.
Lil Wayne bado yupo katika hali ya kutoelewana na Cash Money, Weezy amefungua mashitaka akitaka alipwe kiasi cha dolla millioni 51 million.

0 comments:

Post a Comment