Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, January 18, 2016

50 Cent and Meek Mill
Meek Mill anauanza mwaka mpya na beef mpya.
Baada ya mwisho wa mwaka jana kuwa katika beef kali na rapa Drake, mwaka huu wa 2016 rapa Meek Mill ameuanza kwa beef na rapa 50 Cent.
Chanzo cha beef hilo ni rappa Meek kumrushia vijembe hasimu wa boss wake,50 Cent katika wimbo wake  “Gave Em Hope” kutoka katika albamu ya 4/4

Katika wimbo huo rappa Meek Mill amerap:
“I got 50 reasons say you’re taking d... / And it’s 50 reasons I should kill ni**as,”
“But for real, ni**a, I been taking trips with my Philly ni**as / Got the richest chick, she’s from your ‘hood / Ni**as hatin’ on me, I ain’t really trippin’ / Shit, I’m good.”
You know the game / If you co-sign a rat, you forever a rat / We were never with that / You tried to go Money May with that paper, but now you in debt ’cause you never was that.”

Rapa 50 Cent alijibu mapigo kwa kutuma mitandaoni  picha ya Meek na viji emoji ikiwa imesindkizwa na ujumbe (caption) "Hey , your career is already over. you better focus on geting Nicki pregnant so you can at least get child support girl."
akimaanisha hey uwezo kwako katika sanaa umefikia mwisho,bora ufanye mpango upate mtoto na Nicki ili baadaye upatiwe pesa za mahitaji ya mtoto.
Tazama picha za vijembe waliyoipost marappa 50 Cent na Meek Mill hapo chini:

0 comments:

Post a Comment