Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, January 13, 2016

  
 Nick Cannon afunguka vile anavyojisikia kuhusu maisha ya ndoa tangu kuvunjika kwa ndoa yake na Mariah Carey .
Akiongea na waandishi wa jarida la DuJour ,Nick Cannon amefunguka juu ya kwamba anafikiria kuoa tena au lah.
The actor-comedian huyo mwenye umri wa miaka 35 na Carey waliachana mwezi August mwaka 2014 baada ya miaka sita ya ndoa yao ambapo Cannon ndiye aliyedai talaka mwezi December mwaka 2015. Wawili hao walibarikiwa kupata watoto mapacha Moroccan na Monroe waliowapata  April 2011.
Nicjk Cannon alisema:
“I feel like marriage isn’t for everyone,” “A friend of mine put it the funniest way. He said, ‘If you heard that there was a 50/50 chance of living or dying when you jump out of a plane, you probably wouldn’t go skydiving.’ There’s like a 50/50 chance of a marriage working. If it didn’t work out for you the first time, and you still survived it, you probably shouldn’t do it again.”

0 comments:

Post a Comment