Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, January 13, 2016

 
Ile  Fillamu kuhusu maisha ya hayati Tupac iliyopewa jina la "All Eyez On Me" ipo katika mchakato wa kuindeleza na sasa wametajwa wahuusika wengine watakaoigizwa maisha yao.
Baada ya kupatikana mtu anayerandana na Tupac ambaye ataigiza maisha yake katika filamu ya ''All Eyez On Me" ,ikabaki kazi kuwasaka wahusika wengine watakaokuwa wamefanan na waliokuwa watu wa karibu wa rapa huyo ambao ni Suge Knight & Jada Pinkett Smith.
 Knight ataigiwa na Dominic L. Santana ambaye amewahi kuigiza katika vipindi vya televisheni kama One Tree Hill na The Game na Jada Pinket Smith ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa Tupac na walisoma wote darasa moja high school ataigizwa na Kat Graham ambaye ni muigizaji na muimbaji ambaye huigiza katika tamthilia za The Vampire Diaries .
Tazama picha za mastaa hao hapo chini: 

0 comments:

Post a Comment