Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, March 13, 2015

Baada ya mwaka jana kumtishia rappa wa kike mwenye asili ya Australia, Iggy Azalea kwa kusema anapotosha mila na desturi za watu weusi,kikundi cha watu wanaojiita wanahakati (hacktivist group) kinachotambulika kwa jina la Anonymous,sasa wamekuja kivingine na kutuma kipande cha video chenye urefu wa dakika 8 wakimchana rappa Kanye West na mkewe , Kim Kardashian.
Baada ya kutuma video hiyo yenye mkusanyika wa matuko ya Kane West,Na haya ndiyo maneno waliyoyaema:Mr. West, good evening, we are Anonymous,”It seems that you just don’t know when it is appropriate to blurt out your opinions. This is consistent with you. You always have to steal the moment from others who work equally as hard for their recognition. And you assume, and even expect everyone else to be aligned with your personal opinions…You’re like a spoiled child in a grown man’s body. Who is ready to set off a boiling temper tantrum the very moment you don’t get all the things you want. I bet your wife is subconsciously fed up with raising a little boy for a husband. And I am sure your mother would have been so proud of your behavior.”
Kim Kardashian pia ametajwa katika vidoe hiyo na pia wamemchana zaidi Kanye kwa nini anaruhusu mkewe kujidhalilisha na kuuanika mwili wake ili kupata fedha na umaarufu.

0 comments:

Post a Comment