Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, May 25, 2016

Kiss Daniel New Era
Wakati wasanii wa bongo wakiendelea kumangamanga na kutoa ahadi za kukidhi matakwa ya mashabiki wa muziki wao kutoa albamu,msanii wa muziki toka Nigeria ambaye ni hit maker wa ngoma kali kama ''Woju ',FULL NAME: Oluwatobiloba Daniel Anidugbe aka Kiss Daniel ametoa albamu yake ya kwanza na moja kwa moja imeonyesha njia kubwa ya mafanikio katika safari yake ya muziki kwa kushika namba No. 8 katika chati bora na kubwa kabisa duniani za Billboard World Album.
Ukiachilia mbali  Kiss Daniel na albamu yake ya “New Era”,albamu ya msanii toka Nigeria iliyowahi kutinga katika  chati za Billboard World Album ni ya 2face Idibia’s Ascension and Reminisce iliyoshika namba 12.
wp-1464111850347

0 comments:

Post a Comment