Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, April 22, 2016

 Tokeo la picha la ricky martin
Ricky Martin hit maker wa wimbo "La copa de la vida" uliotumika katika fainali za kombe la dunia za mwaka 1998  ambapo Brazil waliokuwa mabingwa watetezi walichzea kichapo cha 3 bila japo walikuwa na mastaa kama wakina Ronaldo de Lima,Rivaldo,Bebeto,Cafu. Zinedine Zidane alitoka kifua mbele kama man of the match baada ya kutupia goli mbili katika kipindi cha kwanza na Emmanuel Petit akipigilia msumali wa mwisho dakika za mwisho hukui mlinda lango wa France akiwa ni Fabie Barthez,amepamba vichwa vya habari baada ya mchakato wake wa kutunisha mfuko wa AIDS kuingiliwa na mtindo wa kuchangusha kwa aina yake.Ilifika wakati akatokea mawamama mmoja akasema ikiwa atapewa nafasi ya kum busu Ricky Martini atachangia dola 9,900 ndipo waandaaji waliporidhia Ricky am busu mkwanja utoke na ikawa.

0 comments:

Post a Comment