Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, April 22, 2016


Kaka wa rapa wa kike Nicki Minaj' ilitangazwa kukabiliwa na kesi ya kubaka mtoto wa kike wa miaka 12.
Gazeti la Pitchfork, limeripoti Jelani Maraj alihudhuria mahakamani kukabiliana na kesi hiyo ambapo supande wa ushhidi wa vipimo umeonyesha hana hatia.
Maraj atahudhuria tena mahakamani May 26.
Maraj ikiwa atakutwa na kosa jilo atakabiliwa na kifungo cha miaka 15 jela.

0 comments:

Post a Comment