Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, May 25, 2016

Tokeo la picha la tiwa savage sign to rock nation
Tiwa Savage ambaye kwasasa anaipromote albamu yake ya “R.E.D”, japo hivi karibuni kulikuwa na hali ya sintofahamu kati yake na mume wake,ametajwa na mtandao wa UrbanView,kwamba msanii huyo ambaye yupo katika record label ya the Mavin Records ,yupo njiani kusainiwa na lebo ya Jay Z,ROC Nation. 
Tarifa zaidi zinadai bosi huyo wa Roc Nation, rapaJay Z, iamevutiwa na profile ya mwanamuziki Tiwa na aina ya uimbaji wake.
catalogue and profile, and sanctioned the signing yesterday (May 24, 2016). It was put together by Roc Nation’s Briant Biggs and Shawn Pecas.
Tiwa Savage pia ametajwa kutumbuiza katika tamasha la Jay Z LA Made in America concert mwezi September ambalo limetajwa kuongozwa na muimbaji Rihanna . Roc Nation ina offices huko New York, London na Los Angeles pia ni nyumbani kwapopular artistes kama Rihanna, Big Sean, DJ Khaled,nk.
Tiwa Savage kwasasa yupo chini ya Mavin Records, na tayari ameshatoa albamu mbili zilizosheheni hit songs.

0 comments:

Post a Comment