Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, November 5, 2015

 Puff Daddy Discusses "No Way Out 2" & Retiring From Music
Puff Daddy alifanya mahojiano katika kipindi cha Ebro in the Morning na kusema katika kusherekea siku yake ya kuzaliwa,amewazawadia bure mashabiki wa muziki wake albamu yake mpya aliyoipa jina MMM.
Diddy piua alizungumzia nafasi yake katika muziki kwa sasa,namna gani bado anaupenda muziki na alidokeza yaliyomo katika albamu yake hiyo mpya.

Diddy pia alifanya mahojiano na kipindi cha The Breakfast Club jana (November 4), Puff Daddy

lisema mixtape yake ya , MMM ni kama kionjo cha albamu yake mpya ijayo ya No Way Out 2, ambayo ametamka kwamba itakuwa ndiyo albamu yake ya mwisho kabla hajastaafu muziki na kwenda katika hatua nyingine Mungu atakayomfungulia.

The original No Way Out ilitoka mwaka 1997 na ilikuwa albamu ya kwanza ya Puff ambamo aliwashirikisha wakali toka Bad Boy Records kama The Notorious B.I.G., Ma$e, na Lil Kim.
MMM imetoka jana (November 4).

0 comments:

Post a Comment