Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, March 13, 2015

rihanna-leonardo-dicaprio-family-wedding-barbados (1)
Muimbaji mahiri,Rihanna na muigizaji nguli wa filamu Leonardo DiCaprio wameripotiwa kyuyapeleka mahusiano yao katika ngazi nyingine.Japo kumekuwa na taarifa za kukanusha kuwa wapo katika mahusiano kimapenzi ,RiRi ameonekana sana akiwa nyumbani kwa DiCaprio huko Los Angeles.
Taarif toka kwa watu wa karibu na mastaa hao zinasema,Rihanna na Leonardo DiCaprio inawezekana wameamua kutokuyaweka wazi mahusiano yao lakini ukiwa nao karibu utajua tu kama hao ni wapenzi.
Taarifa zaidi zinasema,Leo amekuwa akimuweka karibu zaidi RiRi na inasemekana imefikia hadi kumtengezea sehemu maalumu ya kuvutia sigara kama inavyofahamika Rihana anapenda sna kuvuta.
Taarifa hizi zinapewa nafasi kwasababu Rihana alishawahi kusema kuwa hana mpango tena wakuwa katika mahusiano na mwanamuziki.

0 comments:

Post a Comment