Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, March 12, 2015

Kuna ripoti zilitolewa jana mach 11 na kusema watu wanne wamejeruhiwa kwa risasi na mshambuliaji asiyefahamika,shambulio lililotokea huko Miami nyumbani kwa rappa Lil Wayne.Polisi wanasema walipigiwa simu na wakafika eneo lililoripotiwa kuw na tukio na hawakukuta hata dalili ya kutokea tukio lolote la mashambulizi na kusema taarifa hizo ni za uongo.
Msemaji wa polisi Ernesto Rodriguez akiongea na kituo cha televisheni cha MTV amesema ,tulifika eneo la tukio na hatukukuta lolote zaidi ya walinzi wa nyumba ya rappa huyo waliowapa ushirikiano wa kutosha na kusema hakuna tukio lolote.

0 comments:

Post a Comment