Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, March 11, 2015

  • Mwaka 2013 watoto wa aliyekuwa muimbaji nguli wa marekani,Marvin Gaye,Nona, Frankie na Marvin Gaye III walifungua mashtaka kuhusu kuibiwa sehemu ya wimbo wa marehemu baba yao na kutengenezwa wimbo Blurred Lines ambao uliwaingizia dolla millioni 16million waimbajiP harrell, Thicke na rapper T.I. 
  • Hukumu iliyotolewa jana march 11 imewataka Pharell na Robin Thicke kuilipa familia ya Marvin Gaye dolla millioni 7.4 kwa kunakili wimbo bila makubaliano na familia hiyo.
  • Mahakama imeamua kwamba familia hiyo ya Gaye italipwa dolla millioni 4 kama usumbufu na kuendesha kesi hiyo na dolla millioni 3.4 kama sehemu ya faida kutoka mapato ya mauzo ya wimbo huo ambapo mahakama imemtaka Robin Thicke ametakiwa kulipa dola 1.7 kutoka mfukoni mwake na Pharrell kulipa dolla millioni 1.6 toka mfukoni mwake.


  • 0 comments:

    Post a Comment