Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Sunday, January 17, 2016

 Lil Wayne Walks Off Stage While Performing At Milan Fashion Week

Mtandao wa habari za kidaku za mastaa wa marekani,TMZ,umeripoti rapa Lil Wayne alirtupa microphone na kuondoka jukwaani wakati akitumbuiza katika sherehe za maonyesho ya Milan Fashion Week huko Italy.

Katika kipande cha video kilichopostiwa katika mtandao huo kinamuonyesha rapa Lil Wayne akiwaimbisha mashabiki hit song ya John,na mashabiki kuitikia bila mzuka wa kutosha na rapa huyo akitupa mic na kusepa huku akiwaacha mashjabiki wakishangaa.
Upande wa timu ya Lil Wayne umekanusha habari ya TMZ na kusema kwamba rapa huyo hakuondoka jukwaani kwa sababu mutikio mdogo wa masbiki bali hakupendezewa na mazingira mabaya ya kazi,jukwaa,mziki na hata kipaza sauti hakikuwa sawa.

0 comments:

Post a Comment