Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Sunday, January 17, 2016


Rick Ross anamove kibosi bosi mwaka huu wa 2016. The Teflon Don ,Rick Ross ameachana na record label yake ya Def Jam na kusaini new solo deal Epic Records. Hbari hizo zilisambaa mitandaoni ijumaa jioni  (Jan. 15) baada ya akaunti ya tweeter ya The Epic kutupia photo ya Rozay akiwa na executives L.A. Reid na Sylvia Rhone ikiwa na caption: “Welcome @rickyrozay to the #EPIC family!”
Rozay alisaini na Def Jam mnamo mwaka 2006 na kufanya nao albamu 8ikiwamo ya mwisho aliyoitoa mwezi December Black Market,ambayo imeshika mpaka nafasi ya 6 katika chati za albamu bora.
Rick Ross kusainiwa na Epic Records anaungana na mastaa kama Future, Diddy, Mariah Carey, Ciara, Travis Scott na Fifth Harmony.
Ross pia ana deal na Warner Music ambapo wamesaini kundi lake la Maybach Music Group  wakiwamo Meek Mill, Wale, Stalley, Rockie Fresh, na Omarion.
Swali linabaki: Will MMG also be making the move to Epic?

0 comments:

Post a Comment