Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, January 21, 2016



Sherehe za tuzo za 58 za Grammy zimetangazwa kufanyika na kurushwa live katika televishe Feb. 15.
Ikiwa zimebaki siku si nyingi tayari waandaaji wa sherehe hizo wametaja orodha ya majina ya wanamuziki watakaotumbuiza.Orodha hiyo itaongozwa na Rapa Kendrick Lamar, The Weeknd na Adele.
Rapa Kendrick ambaye anatokea Compton,ameongoza kutajwa mara nyingi zaidi kuwania tuzo hizo huku akiwa ametajwa mara 11 vikiwamo vipengele vya Album of the Year, Song of the Year, Best Rap Song,  Best Rap Album.
Akihojiwa na waandishi wa gazeti la The New York Times juu ya tuzo gani katika alizotajwa angependa kuichukua,rapa Kendrick Lamar amesema bila kupepesa macho alijibu “I want all of them. Because it’s not only a statement for myself, but it’s a statement for the culture. They’re all important, because of the foundation the forefathers laid before me.”

0 comments:

Post a Comment