Director of Brand and
Marketing wa Puma amesema:"I am pleased and excited to be able to confirm that PUMA is indeed
working with Kylie Jenner," akimaanisha :anayo furaha kuwatangazia kwamba Puma sasa inafanya kazi na mwanamitindo Kylie Jenner.
Kylie atahusika kutangaza bidhaa za Puma kwa kipindi cha majira ya kiangazi na hata majira ya joto (Spring/Summer) kuanzia mwezi April 2016.
Kylie Jenner amesaini dili na Puma tofauti na mtazamo wa Kanye West ambaye wiki iliyopita kupitia mtandao wa Twitter aliandika,kitendo cha Puma kutaka kufanya kazi na Kilie inaashiria kuingilia mipango a family.
"1000% there will never be a Kylie Puma anything," West wrote at the
time. "That's on my family! 1000% Kylie is on Yeezy team!!!
West na Kylie ni mashemeji na Jenner kupitia dada yake ambaye ni Kim Kardashian.
Jenner amewahi kufanya maonyesho ya mitindo kwenye uzinduzi wa Kanye West,adidas Yeezy Season 1 pia katika uzinduzi wa Yeezy Season 3 uliofanyika Madison Square Garden .
Kylie Jenner ambaye juzi amesaini dili na Puma,jana alionekana mitaa ya New York akiwa amevalia raba za adidas Yeezy,mapaprazy walipomhoji kwanini? aliwajibu Puma hawajamzuia kuvaa Adidas.
Thursday, February 18, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment