Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, April 29, 2016

 Tiwa-Savage-Traditional-Wedding-Tee-Billz-TJ-Balogun-BellaNaija1-142
Mume wa Tiwa Savage,Tunji Balogun aka Teebillz siku ya alhamis kupitia akaunti yake ya Instagram aliposta maneno kuonesha ulimwengu kiasi gani ndoa yake ilivyo mashakani na hata kufikia kutaka kujiua kwa kujirusha katika daraja refu la Lekki- Ikoyi toll bridge.
Sahahidi aliyekuwepo eneo la tukiona aliyemuokoa mume wa Tiwa aliyefahamika kwa jina la Chukwuma Ani, amesema ilikuwa mida ya saa 3 asubuhi akiwa anaendesha gai lake maeneo hayo ya daraja la Lekki-Ikoyi toll bridge,gari yake iligongwa kwa nyuma na kuumizwa,ndipo aliposhuka na kwenda kutazama aliyegonga ambaye bado alikuwa ndani ya gari yake na kumuomba atoke nje aangalie uharibifu alioufanya  bila kujua kuwa ni bwana Teebilz.
Jamaa alimwambia niache nimefanya hivyo kwasababu maalum,Chukwuma aliendelea kumsisitiza Teebilz ashuke kwa gari aone uharibifu  bila kujua ni nani na alikua na nia gani.
Mr Chukwuma amesema aliona pombe imemwagika katika gari na alitambua kwamba dereva huyo alikuwa amelewa sana,alipojaribu kuendelea kumsisitiza ateremke garini ndipo bw Teebilz alipoondoa gari kwa nguvu akamtishia na kuondoka ksai ndipo alipomfukuzia nyuma walipofika katikati ya daraja alisimamisha gari mna kuanza kuelekea kupanda katika kingo za daraja huku akimshangaa ndipo yalipotokea magari mengine mawili zaidi na madereva wa magari hayo wakimshangaa Teebilz akijaribu kupanda katika kingo za daraja na kujaribu kujirusha ndipo mmoja kati ya wale madereva walipomkimbilia,mr Cukwuma amesema alikuwa kama anaangalia sinema kwani Tee alijaribu kutaka kujirusha na dereva alimshika huku akiomba msaada
dipo walipotokea watu wawili zaidi kumvuta Teebilz na ndipo alipotokea mmoja wa mapacha mastaa wa PSquare (Peter Okoye) NA Banky W kumvuta na kumuokoa.
Vombo vya usalama vimesema walipompigia Peter Okoye atoe maelezo juu ya kilichotokea hakutoa ushirikiano.
Kwasasa mume wa Tiwa Savage abw Teebillz yupo poa na anaendelea vizuri chini ya uangalizi wa karibu na wanafamilia..
Tunji Balogun aka Tee Billz ambaye kaunti yake ilipambwa na habari inayoendna na tukio amekana kuwa si yeye aliyepost post zile bali akaunti yake ilitekwa na chanzo kimesema sababu za bwana huyo kufikia kutaka kujiua ni mkewe bi Tiwa Savage kusememkana ametookana na  wanamuziki wenzake kama Don Jazzy, Dr Sid na 2face.

0 comments:

Post a Comment