Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 17, 2016

 Tokeo la picha la Ice Cube Drops Big Money for Actor Jean-Claude Van Damme’s Mansion
Rapper turned actor/producer Ice Cube huu ni mwaka wake.Ice Cube amekuwa na mafanikio makubwa mwaka huu kufuatia filamu zake za  Straight Outta Compton 2015 na Barbershop kufanya poa sana sokoni.
Katika kusherekea mafanikio hayo Ice Cube amejipinda na kutoa mpunga mrefu kiasi cha  To dola milliono 7.5 kununua jumba la kifahari lililokuwa likimilikiwa na star wa filamu za mapigani,Jean Claude Van Damme,jumba linalotajwa kuwa na vyumba vya kulala 11,gym, home theater, glass elevator na a rooftop deck with swimming pool ambapo unaweza ukawa unaogelea ama kupunga upepo huku unatazama mjina na bahari.

0 comments:

Post a Comment