Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, May 16, 2016

Rick Ross & Wingstop Sending Kids To College With Scholarship Program

Rick Ross,Maybach Music Group empire na duka lake la vyakula la Wingstop franchises wameandaa mpango maalumu wa kuwaaidia vijana katika maswala muhimu ya elimu..
Akiongea katika mahojiano na waandishi wa mtandao wa Bossip  Ross amesema atatoa scholarship kwa vijana waliomaliza elimu ya sekondary ya juu kuwawezesha kwenda vyuo kupitia mfuko wake wa Wingstop Foundation ambao ni nonprofit.Ross amesema atatoa scholarships kwa vibarua na   wanafunzi toka mitaani kupunguza vijana wasio na elimu mitaani.

0 comments:

Post a Comment