Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, July 25, 2016




Wahenga walisema wawili wakigombana shika jembe ukalime,hayo yamejidhihirisha pale ambapo mastaa ambao wanatajwa kuwa na beef zito,50 Cent, Fat Joe na Floyd Mayweather kuopnekana wakienjoy masiha pamoja juzi  (July 23) hukos Vegas whe.
Ikumbuke kuwa 50 Cent alikuwa ktika beef na Fat Joe 2004 baada ya Fat Joe kushirki katika wimbo wa Ja Rule“New York.” kipindi hicho 50 akiwa katika ugomvi mkubwa na Ja na lebo yake ya Murda Inc.
50 na Floyd’walitofautiana katika ishu za kibiashara lakini baadaye walitangazwa kumaliza tatizo lao.
 Sasa watatu hao wameonyesha kumaliza tofauti zao baada ya usiku wa juzi kuonekana walivinjari pamoja katika kilabu cha usika na kama haitoshi wakapiga picha ya pamoja.




0 comments:

Post a Comment