Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, September 1, 2012

                                   

                                        Cassie na Diddy

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

  Baada ya kushrehekea  birthday yake ya kutimiza miaka 26th last week,Cassie alionekana akismile wakati anarudi toka vacation na Diddy.Wawili hao walishukiaNew York heliport wakiwa na mizigo kibao lakini walifanikiwa kukwepa picha ya pamoja. Bado kuna kitendawili juu ya mahusiano ya wawili hao.

0 comments:

Post a Comment