Lupe Fiasco asema Chief Keef anamuogopesha
Lupe alisema hayo alipoulizwa unauonaje ujio wa Chi-Town newcomers,alijibu Chief Keef ananiogpesha sana kwa utamadauni anaouwakilisha haswa Chicago,murder Chicago zinaongezeka na naona kama kuna watu wanachochea,sijui tunaenda wapi? Chief kif yupo chini ya recod label ya Interscope na watu kama 50, Eminem,anatamba na ngoma"I Don't LikeGame awapa big up Kanye West na Dr Dre kwa kumsaidia kupata title "Jesus piece
West Coast rapper Game ameongelea mabadiliko ya album F.I.V.E. (Fear Is Victory's Evolution) title na kwanini Kanye West amemkubali kwa title Jesus Piece na pia amesema Cool & Dre's Dre wamemshauri kuchange title mwanza Game aliipa albaum yake titled F.I.V.E. (Fear Is Victory's Evolution), amebadilisha na kuwa Jesus Piece baada ya Trey Songz kureleasealbum yenye title Chapter V na 50 5 (Murder by Numbers) ndipo alipofikiria kuchange title,moja kati ya watu waliotoa mchango ni Kanye na Dre.
- Jesus Piece inaongelea situations watu kama mimi ambao tunampenda Mungu lakini bado tunaishi maisha ya kimtaa.unaweza kuokoka na ukendeleza swag,unaweza ukawa unapiga hata kiywaji chako na unaenda club,kinachomater ni imani si mpaka uvae suti ndiyo utokee church.
Rapper Beanie Sigel matatani tena
Ilikuwa ni hasubuhi na mapema baada ya kushusha album yake huku wiki 2 zikiwa zimesalia kureport prison kwa matatizo ya kushindwa kulipa kodi police wamemuarest rapper Beanie Sigel na mshkaji wake kwa makosa ya gun na drug ktk traffic stop.Habari zaidi zinasema baada ya trafic kusimamisha gari waligundua driver ni Dwight E. Grant 38 AKA famous hip hop rapper 'Beanie Sigel,Upekuzi ulipofanyika ndani ya gari vilikutwa marijuana,chupa za codeine label scratched na gun ktk dashbord na wakapelekwa polisi.Benie sigel alisema atafanya awezalo kufanikisha album yake kabla hajaanza kutumikia kifungo cha miaka 2 jela na muda mwingi uliobak atakuwa karibu na family,lakini kwa makosa haya kunauwezekano mkubwa akaanza kutumikia kifungo kabla ya September 12.
Cassidy ameongea kuhusu mataizo ya kisheria yanayomkabili Beanie Sigel's na kusema"Everything Happens For A Reason"masaa kadhaa baada ya benie kukamatwa Ruffhouse Records CEO Chris Schwartz alitoa statement na kusema,kwakweli tumekuwa verry disappointed.Beanie hajafanya kosa lolote isipokuwa mazingira. Beanie anastruggo na personal issues,na tutamsapot

0 comments:
Post a Comment