Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday
Posted by djnicotracktz
on 8/27/2012 05:00:00 AM
No comments
Cash Money rap veteran Busta Rhymes atetea mpango wake wa kutoa album ya year of Dragon bure
Busta Rhyme asmesema kuna watu wapo nami wakinisapoti na kutumia pesa zao kununua kazi zangu kwa miaka 20 niliyopo ndani ya fani na sijawahi kufanya lolote bure kwaajili yao,muda ndiyo huu na hii ni kama my thank-you album.
Lil Wayne na Young Money matatani
Young Money leader Lil Wayne's label matatni baada producers wawili tofauti Andrews "Drew" Correa and Marcos "Infamous" Rodriguez kufungua kesi ya madai wiki iliyopita kuhusu mchango wao ktk kukamilisha project ya Tha Carter III 2008.Correa amesema alipewa deal mwaka 2008 ku produce music ambayo ilifanya vema ktk megalbums kama "Carter III,"Re-Birth," "I'm Not a Human Being" na Priceless.Correa amesema alipewa mpunga kiasi kisha wakapotea.Producer Rodriguez madai yake ni kama ya Corea tofauti ni kwamba alianza mkataba mwaka 2007.Hii inaonesh kama ni kawaida kwa Young Money kudaiwa kama histoy toka kwa producers Deezle, Bangladesh,Jim Johnson,and David Kirkwood, na Play-N-Skillz.
0 comments:
Post a Comment