Queen Bey juu tena na hii ni baada ya kutajwa kuongoza orodha ya albamu bora za Rolling Stone‘s 50 Best Albums of 2016 na albamu yake ya LEMONADE, ametajwa tena kuwa No. 1 katika orodha ya Rolling Stone‘s 50 Best Songs “kwa wimbo wake Formation”.
“Hii hapa orodha ya nyimbo zilizoingia katika kumi bora toka katika orodha ya nyimbo 50 bora:
Rolling Stone’s 50 Best Songs of 2016 – Top 10
1. Beyoncé – “Formation”
2. Frank Ocean – “Ivy”
3. Drake feat. Wizkid & Kyla – “One Dance”
4. David Bowie – “No Plan”
5. Kanye West feat. Chance the Rapper, Kirk Franklin, The-Dream, & Kelly Price – “Ultralight Beam”
6. Pwr Bttm – “Projection”
7. Solange – “Cranes in the Sky”
8. Fifth Harmony feat. Ty Dolla $ign – “Work from Home”
9. Lvl Up – “Pain”
10. Rae Sremmurd feat. Gucci Mane – “Black Beatles”
Thursday, December 1, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment