Kanye West atoka hospitalini baada ya kulazwa kwa takriban wiki moja katika hospitali ya UCLA Medical Center, West ameruhusiwa na kurudi nyumbani ambako ataungana na familia yake mkewe Kim Kardashian na watoto wao North na Saint.
Rapa huyo wa Life of Pablo ameruhusiwa lakini bado yup chini ya uangalizi wa personal Dr. wake Michael
Farzam
West ameahirisha na kukatisha ziara ya ke ya muziki ya “Saint Pablo World Tour” kufuatia kupatwa na maradhi mbalimbali yakiwamo exhaustion,
dehydration, depression, paranoia,.
Thursday, December 1, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment