Dr. Dre ambaye hivi karibuni amejipatia mkwanja mwingi baada ya kuuza Beats headphones , amelalamikia wachina wanaotengeneza bidhaa hizo za Beats katika ubora wa chini na kuziuza kwa bei ya chini na kuwataka waache ara moja kwani anapoteza mabillioni ya dola.
Dr.Dre amewafungulia mashtaka wachina wanaotengeneza bidhaa hizo na kuzitangaza katika website zikiwa na logo ya ‘b’ na kusema watu hao wanajiingizia zaidi ya dolla 135.
Beats itawashtaki wale wote watakaousika na utengezaji wa bidhaa feki zenye logo yao.
Friday, July 11, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment