Ikiwa ni kama miezi miwili imepita tangu itangazwe kuachana kwa R&B star Rihanna na rappa Drake.
RiRi inaonekana kama ameshafanya maamuzi ama yupo mbioni kutua moyo wake kwa mwanaume mwingine.Haya yanasemekana baada ya minong’ono kwamba Rihanna anatoka na Cliff Dixon ambaye ni rafiki sana wa NBA star Kevin Durant.
Rihanna na huyo ambaye anasemekana kuwa new boyfriend wake ambaye ni, former college basketball star Cliff Dixon,wameonekana wakiwa karibu ya kimapenzi sehemu na mara kadha wa kadha na hata tarehe 4 ya mwezi wa 7 walikuwa pamoja sehemu inaitwa Hooray Henry’s huko West Hollywood,Calif.Watu waliokuwapo wamesema wawili hao walikuwa karibu sana na mwishowe walionekana wakiondoka pamoja.
Friday, July 11, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment