Tuzo za 2016 South African Hip-Hop Awards (SAHHA) zilifana siku ya alhamis rapper huku Cassper Nyovest akiacha historia kwa kujizlea tuzo nyingi zaidi.
Cassper Nyovest ambaye mapema mwezi huu alitajwa namba moja katika orodha ya ma mc bora SA ( SA's hottest MC's ) alizoa tuzo ya MVP of the Year, Best Digital Sales, Hustler of the Year na Milestone.
Katika kusherekea na kushukuru na kuwaalika katika birthday mashabiki,Cassper aliingia katika mitandao ya kijamii na kuandika:
“1 of 4!!!! Thank you so much to all the fans!!! See you at Taboo tomorrow!!! Come celebrate with me!!! #SAHHA2016,” he wrote.
Here are some of the winners at the 2016 SAHHA:
Most Valuable: Cassper Nyovest
DJ of the Year: Dj Speedsta
Album of the Year: Emtee – Avery
Hustler of the Year: Cassper Nyovest
Producer of the Year: Tweezy
Best Female: Fifi Cooper
Best Male: Emtee
Best Hip-Hop Radio Show: Namba Bamba – Ukhozi FM
Best Digital Sales: Cassper Nyovest
Milestone: Cassper Nyovest
Best Remix: Emtee ft AKA & Wizkid – Roll Up
Song of the Year: Kwesta ft Cassper – N’gud
Kwa mtazamo huu si maka mzuri kwa rapper AKA kwani hajapata hata tuzo mija katika tuzo za 2016 South African Hip-Hop Awards (SAHHA) na alitajwa mc namba 5 kama anavyoonekana hapo chini:
5. AKA
4. Kwesta
3. Nasty C
2. Mtee
1. Cassper Nyovest
0 comments:
Post a Comment