RITA ORA aliushtua ulimwengu wa muziki wiki iliyopita baada ya kuporomosha mvua ya manenoa akimshutumu bosi wake Jay Z na Record label yake ya Roc Nation ni kufikia kusema anajitoa katika lebo hiyo na ataishitaki.
Wafuatiliaji wa mambo ya muziki wamesema sababu kubwa za Rita Ora kufikia uamuzi huo ni superstar — RIHANNA ambapo imeonekana anapewa kipaumbele zaidi yake katika lebo hiyo ya Roc Nation.
Taarifa zaidi izimesema kilichochoea mafuta a moto huo kulipuka ni pale muamuzi wa shindano la usakaji vipaji vya uimbaji la X Factor kutoa siri kwamba Rihanna amepewa nafasi ya kwanza kuchagua nyimbo ambazo zitawekwa katika albamu yak ijayo kabla ya Rita Ora .
Rita amemfungulia mashtaka Jay Z na record label yake ya Roc Nation ya kutaka atolewe na kusitisha mkataba.
0 comments:
Post a Comment