Rihanna na Lupita Nyong'o wametajwa kuigiza vinara katika filamu kama ilivyowahi kudhaniwa baada ya tweet iliyosambaa mwaka 2014.
Kampuni ya Netflix inaripotiwa kusimamia filamu hyo na inatarajiwa kutoka 2018 release
Idea ya filamu hiyo itakayowakutanisha Rihanna na Nyong'o inatajwa kuanzia katika majibizano ya mastaa hao katika Twitter kama yanavoonekana hapo chini lakini pia picha waliyopiga Rihanna na Lupita 2014 katika maonyesho ya mitindo ya Miu Miu fashion show.
0 comments:
Post a Comment