The commander-in-chief himself,President of the United States,Barack Obama ameutaja wimbo wake bora kwa mwaka 2015.
President Barack Obama ana good taste katika music hivyo sina hofu naye juu ya wimbo aliouteuwa kuwa wimbo wake bora kwa mwaka 2015 japo mapema katika kipindi cha summer alitaja playlist yake ya ngoma azipendazo za wasanii wakali katika muziki kama Beyoncé, Justin Timberlake, Frank Ocean, Erykah Badu, Mary J. Blige na hata Mos Def.
President Barack Obama ameuchagua wimbo wa rapa Kendrick Lamar “How Much a Dollar Cost” kama wimbo wake bora na aupendao zaidi kwa mwaka huu wa
2015.
Wakati President Barack Obama ameuteua wimbo wa rapa Kendrick Lamar “How Much a Dollar CostWhile kuwa wimbo wake bora na aupendao zaidi kwa mwaka huu wa
2015,First Lady Michelle
Obamaameuchagua wimbo “Uptown Funk” wa Mark Ronson featuring Bruno Mars,kama wimbo wake bora na aupendao zaidi kwa mwaka huu wa
2015.
Rapa Kendrick Lamar amekuwa na mwaka mzuri kwani wimbo wake umeteuliwa na raisi Obama na kama haitoshi ameongoza kutajwa katika orodha ya wasanii wanaowania tuzo za Gramy.
Thursday, December 10, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment