Wakati bado wasanii wa bongo flava wakisuasua na kusikiliana nani aanze nani afuate kutoa albamu,albamu ya kundi la Sauti Sol la nchini Kenya,Live and Die in
Afrikaimevunja rekodi Kenya kwa kushushwa zaidi ya mara 400,000 ndani ya masaa 48.
Albamu hiyo ina vionjo na miondoko ya Afro-pop yenye nyimbo kali na zilizofanya vizuri kama “Sura Yako” ,“Shake Yo Bam Bam,”, “Isabella.” nanyinginezo.
Nawapongeza Saut So kwa mafanikio hayo japo hatuwezi kuyafananisha na mafanikio ya wenzetu wa dunia ya kwanza kama wakina Adele ambao wameendelea kujitengenezea rekodi zao kwa mauzo ya zaidi ya nakala milioni 3.38 katika wiki ya kwanza.
Albumu ya Sauti Sol inapatikana katika iTunes na MTN
0 comments:
Post a Comment